#UbunifuNiDijito
Tupendezeshe Brand Yako
Bofya HapaKuhusu Dijito Frames
Dijito Frames inajikita kusaidia biashara zivutie wateja wengi iwezekanavyo kwa kutumia graphics design na utaalamu wa teknolojia.
Lengo letu ni kuwekeza katika mbinu bora zinazoendana na wakati ili kuhakikisha wateja wetu wanafikia malengo yao ya kukuza biashara zao.
Arden Mogere
Graphics Designer - Dijito Frames

Kazi Zetu

Mteja: TEA Study Abroad
Kazi: Brand Identity
Mwaka: 2023
Wigo wa Kazi: Miezi Miwili (2)

Name: Mkaa Fresh
Kazi: Poster Design
Mwaka: 2022
Wigo wa kazi: Wiki moja (1)